Isura ye 11
1 Nahisi panga muvumiliane na nenga katika baadhi ya upumbavu. Lakini kwa kweli mwavumiliana na nenga. 2 Kwa kuwa ni ywabile ni wivu kuhusu mwenga. Nibile na wivu wa Nnongo kwa ajili yinu, tangu natibaahidi mwenga ndoa ya nsengo yumo. Natibaahidi kubaleta mwenga kwa Kristo kati bikra safi. 3 Lakini nendayogopa panga kwa namna fulani, kati nng'ambo ywadanganya Eva kwa hila yake, malango yinu yaweza kuapotosha kutalu boka mu'ibada halisi na safi kwa Kristo. 4 Kwa mana kwa mfano panga mundu fulani aisa ni tangaza Yesu ywenge tofauti ni yolo twatibahubiria. Au kwa mfano panga mwapokya roho ywenge tofauti ni yolo ywampokile. Au kwa mfano panga mwapokya injili yenge tofauti ni yelo yamuipokile. Mwativumilia makowe haga vema yatosha! 5 Kwa kuwa nadhani panga nenga na nkati ya mwabile duni kwa habo bakemilwe mitume-bora. 6 Lakini hata mana nenga nifundishwa kwaa katika kutoa hotuba, nibile kwaa nyoo katika maarifa. Kwa kila namna na katika makowe gote tulipangite lee kujulikana kwinu. 7 Je, mupangite sambi kwa kuinyenyekeza mwene ili mwenga muweze kuinuliwa? Kwa kuwa natihubiri kwa uhuru injili ya Nnongo kwinu. 8 Natinyang'anya makanisa yenge kwa pokya msaada boka kwabe ili panga niweza kubahudumia mwenga. 9 Muda panibile mwenga na nibile katika uhitaji, namlemea kwaa yeyote. Kwa kuwa mahitaji gango yatitoshelezwa ni alongo baisile boka Makedonia. Katika kila kilebe nijizuia mwene kutokuwa mzigo kwinu, na nalowa yendelya kupanga nyoo. 10 Kati kweli ya Kristo ibile nkati yango, uku kuisifu kwango, kwanyamazishwa kwaa katika sehemu za Akaya. 11 Kwa mwanja namani? Kwa sababu napenda kwaa? Nnongo atangite kuwa naapenda. 12 Lakini chelo chanikipangite, nalowa kukipanga kae. Nalowa kukipanga ili panga niweze kuipinga nafasi ya balo baatamaniya nafasi ya kuwa kati tubile katika chelo chelo chawaipunia. 13 Kwa kuwa bandu balo ni mitume ba uongo na batendakazi abocho. Baikelebuya benge kati mitume ba Kristo. 14 Nga yee yashangaza kwaa, kwa kuwa hata nchela hujigeuza mwene kati malaika ba bweya. 15 Yee yabile kwaa mshangao nkolo kati batumishi ba haki. Mwisho wabe ipangika kati matendo gabe kati gastahili. 16 Nabaya kae: Bai na abile kwaa mundu yeyote ywawaza nenga na mpumbavu. Lakini kati mwapanga, munipoki nenga kati mpumbavu ili niweze kuisifu kichunu. 17 Chelo chanikipanga kuhusu kwa kujiamini kwa kuipunia ahukumilwa kwaa na Ngwana, lakini nabaya kati mpumbavu. 18 Kwa ye bandu baingi huipuniya kwa namna ya yega, nalowa ipunia kae. 19 Kwa mana mwatichukuliana kwa puraha na bapumbavu, mwenga mwabene mubile na busara! 20 Kwa mana mwatichukuliana na mundu mana akikutia atumwani, kati husababisha mgawanyiko kati yinu, kati akibatumia mwenga kwa faida yake, kati atijibeka nnani ya hewa, au kati atibakombwa kuminyo. 21 Nalowa baya kwa oni yitu panga twenga tubile adhaifu muno kupanga nyoo. Na bado kati yeyote aipunia-nalongela kati mpumbavu-nenga naipuna kae. 22 Je, bembe ni Ayahudi? Na mwenga nga nyoo. Je, bembe ni Baisraeli? Na nenga nga nyoo. 23 Je, bembe ni batumishi ba Kristo? Nalongela kati nabile kwa na malango gango.) Nenga na zaidi. Nibile hata katika kazi ngumu muno, mbali zaidi ya kuwa vifungoni, katika kkukombwa pitya ipimo, katika kuyeketya hatari yanyansima ya kiwo. 24 Boka kwa Ayahudi natipokya mara tano “mapigo arobaini kutoa limo.” 25 Mara tatu natikombwa kwa fimbo. Mara jimo nakombwile maliwe. Mara tatu natinusurika mu'ngalaba. Natitumya kilo na mutwekati katika bahari wazi. 26 Nibile katika safari za mara kwa mara, katika hatari za mito, katika hatari ya majambazi, katika hatari boka kwa bandu bamataifa, katika hatari ya mji, katika hatari ya lijangwa, katika hatari ya bahari, katika hatari iboka kwa alongo abocho. 27 Nibile katika kazi ngumu na katika maisha magumu, katika kilo kikolo cha gonja kwaa, katika njala na kiu, mara zanyansima katika kufunga, katika mbepo ni uchi. 28 Kutalu na kila kilebe chenge, kubile na msukumo wa kila lisoba nnani yango na wasiwasi wango kwa ajili ya makanisa. 29 Nyai ywabile dhaifu, na nenga nibile dhaifu kwaa? Nyai ywasababisha benge tomboka mu'sambi, na nenga nitike kwaa ndani? 30 Mana lazima nenga niipune, nalowa ipunia chelo chaibonekeya udhaifu wango. 31 Nnongo na Tate ba Ngwana Yesu, ywembe ywabile atukuzwa milele, atangite panga nenga nilongela kwaa uboso. 32 Kolyo Dameski, nkolo wa nkoa nnema wa mpwalume Areta abileakiulenda mji wa Dameski ili kunkamwa nenga. 33 Lakini nibekilwe mu'kitondo, pitya pa'ridirisha katika ukuta, na natinusurika boka mu'maboko gake.